Sunday, June 15, 2008

Yaliyojiri mechi ya Stars na Cameroon



Merryliz ambaye ni mkereketwa wa Starz naye alikuwemo Uwanja wa Taifa kushuhudia jinsi Cameroon anavyosulubiwa, mikoni mwake ni mtoto wa Rafiki yake ambaye naye alikuwa akifuatilia mchzo huo kwa umakini wa hali ya juu.


Asikwambie mtu Wakameruni hawaakuamini


Mchezaji wa Cameroon Rigobert Song picha ya kwanza akitoka Uwanjani huku akiwa haamini kile kilihotokea katika uwanja wa Taifa, picha inayofuatia ni Samuel Eto'o akivua jezi yake na kumpa chipukizi mara baada ya mechi kumalizika.

No comments: