Friday, April 4, 2008

Vinono vya Stars hivyooo!



Hawa ni wadau wa soka nchini (Katinu Mkuu wa shirikisho la kandanda nchini (TFF) Freddick Mwakalebela, (wa kwanza kulia) Rais wa Leogder Tenga, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Jaji Mark Bomani na mmoja wa wakurugenzi wa kampuni hiyo wakitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya udhamini kwa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'. Udhamini wa kampuni hiyo unafikia kiasi cha Shilingi Bilioni 4.2 kwa kipindi cha miaka 5 na kuvunja rekodi ya udhamini kwa timu hiyo tangu Tanzania ukapa uhuru wake kwama 1961. (PICHA NA TEDDY MAPUNDA WA SBL).



No comments: